|
---|
![]() |
---|
![]() |
![]() |
---|
![]() |
---|
Mahubiri |
|
sikiliza | soma |
---|---|---|---|
Mambo |
Malaika mamilioni, maserafi na malaika wakuu Mikaeli na Gabrieli watafika mbele ya kiti cha enzi cha Yesu. Watapiga magoti na kusema: YESU KRISTO NI BWANA! Halafu watu wote watakuja kuinama mbele za Yesu. Huko watakuwepo Hitler, Yaser Arafat, Saddam Hussein, Stalin, Idi Amin na wewe na mimi. Wote watapiga magoti mbele ya Yesu na kupaza sauti: YESU KRISTO NI BWANA! Halafu Shetani pamoja na malaika zake na mashetani wote watapiga magoti mbele ya Yesu kupaza sauti: YESU KRISTO NI BWANA! |
||
Ujumbe wa Ufunuo – sura ya 2 |
1-7 Ujumbe kwa Efeso 8-11 Ujumbe kwa Smirna 12-17 Ujumbe kwa Pergamo 18-29 Ujumbe kwa Thiatira |
||
Zaburi ya wachungaji
Zaburi 23 |
Sisi ni wachungaji ndani ya kanisa la Mungu. Yesu ni Mchungaji Mkuu nasi ni wasaidizi wake. Mshahara unatusubiri tutakapofika mbinguni. Kama tunatumikia kanisa vizuri tutapata mshahara mkubwa. Lakini tukitumikia vibaya tunaweza kubaki bila ya mshahara. |
||
Pepo wa udhaifu |
”Na tazama, palikuwa na mwanamke aliyekuwa na pepo wa udhaifu muda wa miaka kumi na minane, naye amepindana, hawezi kujinyosha kabisa.” (Lk 13:11) Huyu mama alikuwa ameinama, hakuweza kunyosha mgongo. Tulisoma kwamba alikuwa na roho ya udhaifu, yaani pepo ya udhaifu. Hii ni roho ya aina gani? |
||
Ujumbe wa Ufunuo sura ya 1 |
Ujumbe wa Ufunuo Dibaji Bila ya Kitabu cha Ufunuo hatungejua ubaya ulioko duniani. Bila ya Kitabu cha Ufunuo hatungeelewa vita, uhalifu na mateso makali ya wanadamu. Bila ya Kitabu cha Ufunuo hatungejua mwisho wa dhambi na shetani. Bila ya Kitabu cha Ufunuo hatungeelewa mipango ya Mungu. Ufunuo sura ya 1. 1-3 Ufunuo aliopewa Yohana 4-8 Salamu kwa makanisa saba 9-20 Njozi ya Mwana wa Mtu |
||
Roho Mtakatifu Kipindi cha 1. |
Roho Mtakatifu Kipindi cha 1. Dibaji Siku hizi tunaishi katika kipindi cha Roho Mtakatifu . Kabla ya kipindi hiki kilikuwa kipindi cha Yesu . Kabla ya kipindi cha Yesu kilikuwa kipindi cha Mungu Baba. Kilikuwa sawasawa wakati wa Agano la Kale. Katika vipindi vyote utatu wa Mungu umeshirikiana kazini. Roho Mtakatifu alifika duniani Roho Mtakatifu Sikukuu ya Pentekoste Kanisa |
||
|
---|